正在播放-Mfalme Wa Mapenzi
作词 : Sanaipei Tande 作曲 : Sanaipei Tande [Intro] Ooh aah Yeah yeah [Verse 1] Malaika zangu zainuka, kila anaponigusa Pumzi nazo mi' zaniishia, kila anaponidadisia Vile ata-nipenda, vile ata-niroga Vile ata-niliza, vile ata- (ooh) Vile ata-nipenda, vile ata-niroga Vile ata-niliza vile ata- Anaponibusu ooh (ooh) Anaponilaza chini iii (iii) Na anapo nipapasa aah (aah) Ni dhahiri shahiri [Chorus] Nimempata mfalme wa mapenzi Hamna mwingine akaribiaye mbinu zake Nimempata mfalme wa mapenzi Hamna mwingine ila ye', a-nifaaye Nimempata mfalme wa mapenzi Hamna mwingine akaribiaye mbinu zake Nimempata mfalme wa mapenzi Hamna mwingine ila ye', a-nifaaye [Verse 2] Yuafanya kwa utaratibu Vioja vyamaliza nguvu Sina budi ila kumruhusu Anipe sumu Anaponibusu ooh (ooh) Anaponilaza chini iii (iii) Na anapo nipapasa aah (aah) Ni dhahiri shahiri [Chorus] Nimempata mfalme wa mapenzi Hamna mwingine akaribiaye mbinu zake Nimempata mfalme wa mapenzi Hamna mwingine ila ye', a-nifaaye Nimempata mfalme wa mapenzi Hamna mwingine akaribiaye mbinu zake Nimempata mfalme wa mapenzi Hamna mwingine ila ye', a-nifaaye [Interlude] Niwie radhi Si ati ni mara ya kwanza Kufanya mapenzi Lakini bila shaka Hamna mwingine kama yeye [Chorus] Nimempata mfalme wa mapenzi Hamna mwingine akaribiaye mbinu zake Nimempata mfalme wa mapenzi Hamna mwingine ila ye', a-nifaaye Nimempata mfalme wa mapenzi Hamna mwingine akaribiaye mbinu zake (ooh) Nimempata mfalme wa mapenzi (yay yay) Hamna mwingine ila ye', a-nifaaye (anilizae) [Outro] Nipenda, niroga, niliza (ooh) Nipenda, niroga, niliza (ooh) Nipenda, niroga, niliza Nipenda, niroga, niliza Anaponibusu (ooh) Anaponilaza chini iii (iii) Na anapo nipapasa aah (aah) Ni dhahiri shahiri
音乐简介
歌曲名《Mfalme Wa Mapenzi》,由 Sanaipei Tande 演唱,收录于《Mfalme Wa Mapenzi》专辑中。《Mfalme Wa Mapenzi》下载,《Mfalme Wa Mapenzi》在线试听,更多相关歌
免责声明
本站所有内容均自动搜索链接于互联网第三方网站页面,并不存储任何视频、音频资源。因此经由本站搜索所产生的任何结果皆不代表本站立场,本站不对其真实合法性以及版权负责,亦不承担任何法律责任。本站所有接口皆源于互联网,仅供学习交流。